Shule nzuri ya private advance Tabora au mwanza.

kdom

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2017
Posts
238
Reaction score
146
N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi.
 
Nenda mwanza kuna shule inaitwa mesa iko vizuri mi nimemaliza pale nina one yangu
 
N vepe jf?Naulizia shule nzuri ya private kwa advance masomo ya sayansi specifically PCM kwa mikoa ya mwanza na tabora. Nina vijana kama watatu hivi.
Nenda Itaga seminar
 
Back
Top Bottom