Guys mambo zenu....
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu... kwa mwenye kujua shule nzuri iliyopo Tabata Ukiondoa Tusiime nitashukuru akinipa uzoefu wake hapa. Ikiwa na unafuu wa Ada (chini ya 2ml per year) itakuwa poa sana
Hayo tu Wadau
BACK TANGANYIKA