Shule ya Primary au Sekondari?mwenye kufahamu tafadhali
primary mzee iwe mchanganyiko au ya wavulana poa tuShule ya Primary au Sekondari?
Kama Sekondari ni O-level au A-level?
Kama A-level, ni mchepuo upi?
Shule ya wavulana, wasichana au mchanganyiko?
Ada unayoisema iwe affordable, wewe bajeti yako ni kiasi gani?
Poa mkuu, ngoja wenyeji wa huko wachambue mafaili watakuja na data hapabajeti isizidi 1.5M
Pwaniwe upo pande zipi mtaalam