Maneno ya Mkosaji [emoji1787]Na huko ndiko kwny uzalishaji mkubwa wa vijana mapunga na wasagaji.
Yes Feza IPO yenye mtaala wa Cambridge ukiachana na NECTA. Nao Ada siyo ya kitotoWapi Feza international schools?
Na huko ndiko kwny uzalishaji mkubwa wa vijana mapunga na wasagaji.
Hapo limerudi likizo baada ya form 6 halafu limevalia linakwambia linatoka na boyfriend wake.Na huko ndiko kwny uzalishaji mkubwa wa vijana mapunga na wasagaji.
Mpaka ukishakuwa na pesa ya kumsomesha huko utakuwa tayari una pesa ya kumtengenezea misingi bora ya ajira/biashara.Hivi mtoto anayesoma hizi shule anaweza kuja kufanya kazi ya utendaji huku kwetu Nanjilinji...?
Wenyewe wa aina tatu: (a) wapigaji kwenye eneo lolote lile, (b) wanaosomeshewa watoto wao na waajiri wao, (c) wafanyabiashara wakubwa wasiokwepa kodi na walianzisha biashara zao kihalali, kinyume na haya ni wapigaji!Shule hizo zinawafaa wenyewe .....
Ova