Shule inauzwa

Shule inauzwa

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Shule inauzwa ukubwa wa eneo ni sq 8030, kuna madarasa 7, jengo la utawala, vyoo, pia ndani ya eneo kuna mnara wa Airtel. Eneo lipo barabara inayotoka Tegeta kibaoni kupitia wazo kwenda Mbezi ya kimara. Kwa muhitaji na mwenye nia meza ya mazungumzo iko wazi baada ya kuona. Kwa mawasiliano wasiliana mwenye no.hii 0717/0766. 11 12 12
 
Back
Top Bottom