Shule inakodishwa Moshi, Kilimanjaro

Shule inakodishwa Moshi, Kilimanjaro

demaja

Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
10
Reaction score
16
Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro. Majengo yake yako imara na Ina vyumba vya kutosha vya madarasa, maabara, dinning hall, mabweni, kiwanja Cha mpira, maji all the year, fensi na umeme wa 3 phase.

Shule Ilisimama 2017 kutokana na ukosefu wa wanafunzi na uchumi. Hivyo tunatafuta mtu Yuko serious tukabithiane kisheria aendeleze gurudumu la elimu mwenye shule unampa 40% wewe unakula 60% ya income na anakupa grace period ya 3 years without payment of rent kwa maelezo zaidi nicheki tuyajenge 0788962318
 
Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro . Majengo yake yako imara na Ina vyumba vyakutosha vya madarasa , maabara , dinning hall , mabweni, kiwanja Cha mpira , maji all the year , fensi na umeme wa 3 phase, shule Ilisimama 2017 kutokana na ukosefu wa wanafunzi na uchumi . Hivyo tunatafuta mtu Yuko serious tukabithiane kisheria aendeleze gurudumu la elimu mwenyeshule unampa 40%wewe unakula 60% ya income na anakupa grace period ya 3 years without payment of rent kwa maelezo zaidi nicheki tuyajenge 0788962318
Mbona umeandika je! Unataka kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja? Why?
 
Shule Ina facilities zote hadi madawati Kila kitu then wewe nikuleta wafanyakazi na kuplan tu namna yakupata students over
Kama ni rahisi kiasi hicho, mbona mmiliki wa hiyo shule alishindwa? Fuata ushauri wa wadau. Hiyo biashara kwa sasa ni ngumu.

Mwambie mmiliki aache tamaa! Ashushe hizo asilimia ili apate mwekezaji kwa urahisi.
 
Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro . Majengo yake yako imara na Ina vyumba vyakutosha vya madarasa , maabara , dinning hall , mabweni, kiwanja Cha mpira , maji all the year , fensi na umeme wa 3 phase, shule Ilisimama 2017 kutokana na ukosefu wa wanafunzi na uchumi . Hivyo tunatafuta mtu Yuko serious tukabithiane kisheria aendeleze gurudumu la elimu mwenyeshule unampa 40%wewe unakula 60% ya income na anakupa grace period ya 3 years without payment of rent kwa maelezo zaidi nicheki tuyajenge 0788962318
Picha ya majengo plz
 
Back
Top Bottom