Invarbrass JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 504 Reaction score 111 Feb 25, 2011 #2 sasa mzazi akiulizwa mwanae asoma wapi atajibuje? sipati picha
nziriye JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 1,050 Reaction score 365 Feb 25, 2011 #3 Invarbrass said: sasa mzazi akiulizwa mwanae asoma wapi atajibuje? sipati picha Click to expand... acha mambo yako bwana,usiogope taja jina la shule kwani huoni limeandikwa kwa ki-lugha ama lugha ya asili,kwa mfano kwa waha usenge mana yake ni usali/Pray.
Invarbrass said: sasa mzazi akiulizwa mwanae asoma wapi atajibuje? sipati picha Click to expand... acha mambo yako bwana,usiogope taja jina la shule kwani huoni limeandikwa kwa ki-lugha ama lugha ya asili,kwa mfano kwa waha usenge mana yake ni usali/Pray.
Mpagama Senior Member Joined Jan 9, 2011 Posts 127 Reaction score 7 Feb 26, 2011 #4 Ni wapi ilipo hiyo shule?
quimby_joey JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 391 Reaction score 175 Feb 26, 2011 Thread starter #5 Kenya
Mpagama Senior Member Joined Jan 9, 2011 Posts 127 Reaction score 7 Feb 27, 2011 #6 Duh, sijui wana maana gani! Lakini nadhani si vema kupeleka watoto wa kibongo hapo kwani itawachukua muda kuikubali maana yao halisi hao wenye Usenge.
Duh, sijui wana maana gani! Lakini nadhani si vema kupeleka watoto wa kibongo hapo kwani itawachukua muda kuikubali maana yao halisi hao wenye Usenge.