shule nzuri mbeya nzima kwa sasa mi UWATA BOYS na HARRISON UWATA GIRLS..
kwa olevl na advance ni shule nzur na kisasa..
sio za zaman sana labda ndo maana watu hawajazitaja..
kw
pitia matokeo yao utakubaliana na mimi.
Hizo zingine zilikuwa nzur zaman kwa sasa ni uwata tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.