kichwakili
Member
- Aug 19, 2017
- 27
- 23
Habari wana jamii forums, naomba mwenye shule nzuri za primary za english medium maeneo ya kigamboni naomba mnijulishe kwani ivi karibuni ntahamia huko kwa sasa naishi mtongani naombeni na maelekezo jinsi ya kufika, asanteni