funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,421 Reaction score 31,922 May 16, 2018 #81 kabila01 said: Mbona watu wanahonga Nyapu magari ya milion 60. Click to expand... Hizi story hazipo siku hizi
kabila01 said: Mbona watu wanahonga Nyapu magari ya milion 60. Click to expand... Hizi story hazipo siku hizi
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,421 Reaction score 31,922 May 16, 2018 #82 13 mega pixel said: Mkuu tufanye mapato yako ya mwaka baada ya kodi na expenses zote ni million 500, kwanini mtoto asisome hiyo shule? Click to expand... Bodi ya mikopo waachie masikini
13 mega pixel said: Mkuu tufanye mapato yako ya mwaka baada ya kodi na expenses zote ni million 500, kwanini mtoto asisome hiyo shule? Click to expand... Bodi ya mikopo waachie masikini
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,141 Reaction score 79,350 May 16, 2018 #83 jingalao said: Hivi wanaosoma huku na wenyewe wanapanga foleni ya mikopo HELSB? Click to expand... Unafikiri chuo atasoma cha Tanzania?
jingalao said: Hivi wanaosoma huku na wenyewe wanapanga foleni ya mikopo HELSB? Click to expand... Unafikiri chuo atasoma cha Tanzania?
RED BULL JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 696 Reaction score 579 May 16, 2018 #84 Tuanzishe za kwetu za kiinternational
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,623 May 16, 2018 #85 kama wanaweza kulipa waache walipe