Shule bila ada...

Kwa minajili hii Watu wengi sana duniani wameshakufa kizembe...
 
Aahgrr tumeshachoka kila Leo waanaleta maada zao eti kansa...
 
Mbwe mbwe za wazungu....mie nawaona kama king kibwetele tu.
 
Wazee wetu wa zamani wangekufa wote kwa cancer. Kifo kipo tu, unaeza kukwepa yote hayo ukafa kwa mengine tena mapema tu kuliko ambavyo ulidhani utaishi sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…