Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,329
8,044

Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.

Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha.

Kweli siasa ni nyokooo!!
 
Wenyewe CCM wanasema huu ndiyo wakati wa kupigishana shoti,hapo Kawambwa keshapigwa shoti.

Mbunge wa sasa wa Bagamoyo anaangalia hii video huku anatabasamu.

Uchaguzi umekaribia tutashuhudia vituko vya kila aina.
Hapo siasa za uchaguzi zinaanzia wapi? Mbona mimi naona kama Waziri mstaafu yuko kwenye mishe za utafutaji baada ya kufulia kifedha
 
View attachment 2973546

Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.

Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye udalali/ utapeli wa viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha

Kweli siasa ni nyokooo!!
Mwanawe wa dhahabu jk anadhalilika!
 
Back
Top Bottom