Naomba nitoe pongei zangu za dhati kwenu moderators kwa kuweka huu muonekano wa font zinazoenea kwenye computer, awali muliweka font kubwa zilizokuwa zinasumbua, tukitaka kusoma ujumbe hadi una- scroll kulia na kushoto.
Naomba msibadilishe huu muonekano wa sasa na font hii mliyoichagua.
Nawasilisha.