Dena,
Habari mama.
Naam mambo hazarani! sasa mtihani pamoja na kufaulu umenipa maksi ngapi?
dada mwalimu Dena!!!
nilikuwa nakupa hi tu!!
napita sis wng wa ukweli!!
Haya hongera DA
Nzuri.
Unaendeleaje?? Ushauri wangu hukutekeleza jana kwanini lakini wewe??
Asante bidada tuonane kule home baadae leo nimesalimu tu na kutoka
mmmhhhh we nae! haya bana.
nilitekeleza ndo maana leo siendi kule.
Haya shem tuisheni nyingine hiyo.Tatizo humu jf huwa siendi mahali zaidi ya MMU,mimi mwanzo MMU mwisho MMU,zamani nikiingia kwenye jukwaa la siasa nikagundua linanipa ugonjwa wa moyo wakati maisha ni mastress kibao ndo nikagota zangu hapa,kama ni bar basi MMU kwangu ni kaunta.100/100 umefauli naona na yale mambo ya home umeyatendea haki.
Hii unajua ungeipeleka kwenye chit - chat hapa si mahala pake. Ila nimeshituka kuona jina langu kwenye title
Dena Amsi,
Lishemeji langu la ukweli,Salaam!
Mara baada ya salam naomba nichukue fursa hii adimu kukushukuru mbele ya hadhara nzima ya JF kwa kunipa li tuisheni la nguvu,nimefaulu mtihani na ushahidi ni hapo juu kushoto.Wenye jicho la husda,mtimanyongo,roho ya korosho,kauzibe,bora tukose wote na wake zao,na waume zao,na shangazi zao,na wajomba zao,na jirani zao wasisubutu kuingilia ushemeji wetu na wakijaribu washindwe na kulegea.
Kwetu tunasema 'Mae kasinge'!
Shemeji yako wa ukweli,
Bishanga Abashaija.