Shukrani za Pekee kabisa

Utaninyony

New Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Nawasalimu members wote Wa Hili Jukwaa Makini la watu makini Greater thinker... mimi hapa ni mgeni na nimeamua rasmi kujiunga katka jukwaa hili tarehe 2feb2012 kwani nimeona mengi mema ya kuielimisha jamii yetu ya sasa ndani ya jukwaa, ni matumaini yangu kuwa mtanipokea kwa mikono miwili ili tuweze kuendeleza gurudumu hili ambalo linaitaji watu makini kulifikisha kunako,,, Nawashukuruni sana na hapa sasa naombeni ridhaa yenu niweze kuteta jambo
 
Umekosea mlango si umeingia kwa boma ya mama mkwe. Hili ni jukwaa la siasa. ulitakiwa upigie hodi kwenye la utambulisho.
 
Hilo jina lako !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…