Shukrani Balozi Dr. Possi kwa kuchukua ushauri wangu naomba Dr. Migiro naye amjibu huyu Tundu Lissu pale BBC

Sirikali na Chama tawala walishajibu tuhuma/facts za Lisu kupitia msemaji was chama, na msemaji wa sirikali Msukuma labda bado msemaji mmoja - Musiba!

Tujikubushe msemaji wa chama mara baada ya hardtalk- alijib saka ni mwanachama wao, nae Msukuma alisema akikutana na Lisu atamwangalia........ bado Musiba. Awamu hii jambo likijitokeza wasemaji wakuu ni Msukuma, Lusinde, Musiba na yule muumini wa serikali 3 !
 
Mbona Lissu kwenye interview zake zote hakuwahi kueleza kwanni Dereva wake wanamficha? Huyo Dereva ndo angeeleza kwa ufasaha kila kitu.

Kwa mfano,baada ya kugundua wanafuatiliwa kwanni hakupeleka gari polisi na badala yake akaipeleka nyumbani. Na walipofika nyumbani nani aliwafungulia geti wakaingia ndani kama hapakua na walinzi? (Tu assume labda alishuka akafungua mwenyewe) sasa alipoona hakuna walinzi kwanini hakufanya maamuzi ya kwenda sehemu salama zaidi (maana tayari alijua wanafuatiliwa) lakini akaamua kupaki gari then akamuambia boss wake asishuke.

Upande alioshambuliwa Lissu ni wa kulia, ambapo kwa magari yetu ya Right Hand Drive ni upande anaokaa Dereva, lakini huyo dereva hakuchubuliwa na hata ganda la risasi. Tunaambiwa aliwahi kuruka akajificha kwenye gari lingine la pembeni. Alijuaje mashambulizi yanaanza akajiokoa yeye akamuacha boss wake.

Nyinyi pimbi ni kama mmelogwa akili zenu zisifikiri zaidi ya kile mlichoambiwa na kukaririshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapa tu ndipo uwezo wako ulipofikia? please!!
 
Umeshapanic!
Uliyepanic ni wewe unayekosa like kwenye bandiko lako! Eti umeshauri wakati mpango ulishakuwepo wa mabalozi kujibia badala ya serikali kuu na bunge na ndio maana dogo aliitwa bongo kabla hajarudi kuiandikia dw barua ile ndefu kwa maagizo makuu! Tafuta wa kuwadanganya kwani walio wengi wamekutangulia kiakili!
 
Hahahaa........ Aliitwa lini?!
 
Nilishauri hapa Jamii Forums kwamba Bunge na Serikali vimjibu mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Antipas Lisu kwa kutumia media zilezile za kimataifa ambazo yeye anazitumia kuishambulia serikali.

Namshukuru Balozi Dr Possi wa Ujerumani kwa kunielewa na namuomba Dr Migiro balozi wetu pale UK atimbe BBC kusafisha hali ya hewa.

Kumjibu Tundu Antipas Lisu kupitia TBC ni kumuongezea tu umaarufu asioustahili anatakiwa apandiwe huko huko juu aliko.

Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!
Kama wakiweza wafanyiwe mdaharo
Ila naamin anachokiongea Lisu ni cha ukweli kipo relevant kabisa
 
Nilishauri hapa Jamii Forums kwamba Bunge na Serikali vimjibu mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Antipas Lisu kwa kutumia media zilezile za kimataifa ambazo yeye anazitumia kuishambulia serikali.

Namshukuru Balozi Dr Possi wa Ujerumani kwa kunielewa na namuomba Dr Migiro balozi wetu pale UK atimbe BBC kusafisha hali ya hewa.

Kumjibu Tundu Antipas Lisu kupitia TBC ni kumuongezea tu umaarufu asioustahili anatakiwa apandiwe huko huko juu aliko.

Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!
Swadaktaaa !
 
Kwani dereva yuko wapi?
Wewe, unayeuliza kwani dereva yuko wapi, ndiye wakushauri balozi zetu la kufanya? Hivi viswali vyako vya mtaani/mtandaoni ndivyo waende navyo DW na BBC? Kwenda si hoja hata kidogo. Kutoka ndio ngoma. Balozi anaweza kukosa mlango wa kutokea. Maswali yanalewesha. Na mbaya zaidi kama umekaririshwa. Possi akikutana na maswali ya maana kutoka tu kwenye hayo ambayo ameaminishwa, atawahi hospitali kwa tiba. Mhusika anasoma na kutafakari hilo tamko lake hadi siku wanakutana studio. Tamko lake mwenyewe litamuua. Defence ni nzuri ukiwa na silaha bora, vinginevyo you're doomed. Attack ya Lissu ni very devastating. Na itakuwa kiyama Lissu in person akutanishwe na mabalozi wetu studio.
 
Kama kweli unaamini mtu yeyote akitaka kumsema vibaya rais na serikali ya CCM basi BBC, DW, n.k. watamkaribisha na kumvutia waya apayuke anavyotaka, basi ni bora uishauri serikali iwaandikie mabosi wa media hizo kulalamikia kitendo chao cha kuruhusu Lissu kuzitumia anga zao "kuishambulia serikali".

Think hard, anachokiongea Lissu wenyewe wana data zote na zaidi. Wanachotaka tu ni dunia isikie "from the horse's own mouth"! Hivyo, usitake kuwaaibisha mabosi wako serikalini na chamani kwa kufikiri wanaweza kujipeleka tu anga za BBC na DW kuweka mambo sawa. Hata wakiruhusiwa, hakuna kukariri kule. Wasijeshangaa kukutana na maswali "ya nyongeza" wasiyotarajia wakaishia kujikanyagakanyaga.
 
Wewe, unayeuliza kwani dereva yuko wapi, ndiye wakushauri balozi zetu la kufanya? Hivi viswali vyako vya mtaani/mtandaoni ndivyo waende navyo DW na BBC? Kwenda si hoja hata kidogo. Kutoka ndio ngoma. Balozi anaweza kukosa mlango wa kutokea. Maswali yanalewesha. Na mbaya zaidi kama umekaririshwa. Possi akikutana na maswali ya maana kutoka tu kwenye hayo ambayo ameaminishwa, atawahi hospitali kwa tiba. Mhusika anasoma na kutafakari hilo tamko lake hadi siku wanakutana studio. Tamko lake mwenyewe litamuua. Defence ni nzuri ukiwa na silaha bora, vinginevyo you're doomed. Attack ya Lissu ni very devastating. Na itakuwa kiyama Lissu in person akutanishwe na mabalozi wetu studio.
Hilo swali ni dogo lakini hata Lisu mwenyewe hajui dereva wake alipo itakuwa wewe mbwiga?!!!
 
Back
Top Bottom