Shukran

MAPOUDA

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
446
Reaction score
296
Nashukuru waungwana nimepata king'ast ambae kwa baadae atakuwa mama chanja wangu!
 
hongera sana,Mungu akutangulie safari ni ndefu.
 
kiwatengu Sio King'asti. Kasema king'ast.
 
mkuu kwani ulikuja na uzi wa kuomba nini vile hadi uwashukuru wadau!!
 
Hivi kumbe neno shukran limebadilishwa maana!!!
 
umbea kipaji? Paw anajiamini mnooo! akimuona huyu dogo anajua kabisa hamna kitu hapo!

It takes one to know one! thanks..

Halafu uyo Paw wako si analeta ubabe kisa moderator..ngoja cdm ichukue hatamu 2015, nayeye the Hague!!!

mkaka anajiita mapouda!!!? si zahma hii!

Mbona hatusemi Paw alivo sharobaro...!

ha ha ha ha ha, bora angejiita mawese.
Angalau yanaonesha masculinity

hahahah...au mafuta ya ubuyu!!! Umenikumbusha mbaaali....house girl wetu aliwahi kupika wali na mboga yake kwa mafuta ya ubuyu...tuliwashwaje!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…