Shujaa

Gooood Thought
 
Ushujaa upi? ha ha ha...sie watanzania wa mitandaoni lazima kuna mtu katuharibu akili si buree!

ha ha ha haaaaa....eti shujaa jaman hebu tuwe na kiasi ha ha ha haaaa
Safi nakuelew sana wiser 1
 
ana makosa mengi ila kwa hili tumpe hongera kathubutu
hakuna kitu, mtu aliambiwa ukiko kuna viwashawasha, akaendelea kuwepo, leo kawashwa anapakimbia tumwite shujaa! hakuna kitu kabisa!
 
Hana lolote mbumbu huyu! Asiyejua system inavyofanya kazi ndiyo anaweza kumpongeza Nape.

Ndiyo mjue nguvu ya wauza madawa ila kwa JMP watasander tuuh...!

Go! Go! Go! Magufuri utarekebisha huko mbelembele.
English please
 
Ushujaa upi? ha ha ha...sie watanzania wa mitandaoni lazima kuna mtu katuharibu akili si buree!

ha ha ha haaaaa....eti shujaa jaman hebu tuwe na kiasi ha ha ha haaaa
English please
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…