habari wadau
hii shughulika recruitment ni matapeli na wanyonyaji kupita kiasi,nakumbuka niliwahi kuitwa kwenye inteview kwenye ofisi zao nikaenda baada ya interview siku iliyofuata waliniita tena wakaniambia nimepita ila inabidi nionane na client wao(ambae ndo kampuni ilitaka kunichukua) nikaonana na director wa hiyo kampuni nae akanifanyia interview alikua mzungu pia akanikubali na salary tukakubaliana for starting laki nane na nusu ila akaniambia salary inapita mikononi mwa hao shughulika recruitment, mi nikachukulia poa ila kabla sijasaini contract na mzungu ikabidi niwahoji shughulika kwamba salary inapopita mkononi mwao wanakata shilingi ngapi ili nijue mimi nabakiwa na shilingi ngapi? walichonijibu nilijikuta nimechana ile contract katikatoi nikamtupia nikaondoka
eti fifty percent yani nifanye kazi mimi mshahara nigawane nusu kwa nusu na wapiga debe tuu aaah nyambaf sijui hizi recruitment agents zinatupeleka wapi

Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo..
Wewe umeona point hapo ni mtu kuitwa tapeli na sio kukatwa 50% ya mshahara kwa kipindi chote atakachofanya kazi. Huo ni utapeli na wewe pia ni tapeli kwa sababu kwako wewe umeona ni sawa. Tuache kunyonyana watanzania
Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo.Neno sahihi hapo ni " unyonyaji" ulipaswa useme shughulika recruitment ni wanyonyaji
Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo.Neno sahihi hapo ni " unyonyaji" ulipaswa useme shughulika recruitment ni wanyonyaji
habari wadau
hii shughulika recruitment ni matapeli na wanyonyaji kupita kiasi,nakumbuka niliwahi kuitwa kwenye inteview kwenye ofisi zao nikaenda baada ya interview siku iliyofuata waliniita tena wakaniambia nimepita ila inabidi nionane na client wao(ambae ndo kampuni ilitaka kunichukua) nikaonana na director wa hiyo kampuni nae akanifanyia interview alikua mzungu pia akanikubali na salary tukakubaliana for starting laki nane na nusu ila akaniambia salary inapita mikononi mwa hao shughulika recruitment, mi nikachukulia poa ila kabla sijasaini contract na mzungu ikabidi niwahoji shughulika kwamba salary inapopita mkononi mwao wanakata shilingi ngapi ili nijue mimi nabakiwa na shilingi ngapi? walichonijibu nilijikuta nimechana ile contract katikatoi nikamtupia nikaondoka
eti fifty percent yani nifanye kazi mimi mshahara nigawane nusu kwa nusu na wapiga debe tuu aaah nyambaf sijui hizi recruitment agents zinatupeleka wapi
LIKUD mtutu yeyote hawezi kuwa mnyonyaji bila kutumia lugha ya utapeli, sema neno ni lilelile ila unajaribu kulipunguza makali yake tu.Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo.Neno sahihi hapo ni " unyonyaji" ulipaswa useme shughulika recruitment ni wanyonyaji
watanzania na swala la kutengeneza fursa.