Shubiri (Aloe vera) ni tiba ya matatizo haya

Hizi dawa zikitumiwa na wazee wetu na zinatibu..ila sasa hivi ni kusisitizwa kuwa zina madhara na ili upone utumie za mzungu..

Kuna maradhi mengine hayaponi hata kwa dawa za hospital... .......

Hizi dawa zikitumiwa na wazee wetu na zinatibu..ila sasa hivi ni kusisitizwa kuwa zina madhara na ili upone utumie za mzungu..

Kuna maradhi mengine hayaponi hata kwa dawa za hospital... .......
La hasha, sio kivile Mkuu. Wasisitizwe kuwa zinaweza kusababisha madhara na ili apone atumie kwa kuzingatia Utaratibu na maelekezo ya Mtu / Mzee anayeaminika na anao ujuzi na uzoefu wa hizo dawa.
 
Back
Top Bottom