U upeo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 369 Reaction score 222 Apr 26, 2020 #1 Wakuu habari zenu natafuta showroom ilokuwa nzuri ambayo inabei nzuri.. Na waaminifu kwenye gari zao sio showroom za mizengwe.. Shukran sana Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari zenu natafuta showroom ilokuwa nzuri ambayo inabei nzuri.. Na waaminifu kwenye gari zao sio showroom za mizengwe.. Shukran sana Sent using Jamii Forums mobile app
Donald Marcus Hemu JF-Expert Member Joined May 14, 2019 Posts 372 Reaction score 537 Apr 26, 2020 #2 Ile mitaa ya kipawa pale mpaka vingunguti zipo kama mbili hiv au tatu naimani patakufaa japo hujaspecify show room ya gari za aina gani!!?
Ile mitaa ya kipawa pale mpaka vingunguti zipo kama mbili hiv au tatu naimani patakufaa japo hujaspecify show room ya gari za aina gani!!?
mr chopa JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 5,296 Reaction score 13,741 Apr 26, 2020 #3 Wacheki Hawa namba zao hizo hapo
U upeo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 369 Reaction score 222 Apr 26, 2020 Thread starter #4 Naam asante gari ni rush au toyota cami kama itawezeka mipate mawasiliano yao mimi nipo mbali lido o na dar shukran Sent using Jamii Forums mobile app
Naam asante gari ni rush au toyota cami kama itawezeka mipate mawasiliano yao mimi nipo mbali lido o na dar shukran Sent using Jamii Forums mobile app
U upeo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 369 Reaction score 222 Apr 26, 2020 Thread starter #5 mr chopa said: Wacheki Hawa namba zao hizo hapoView attachment 1431106View attachment 1431107 Click to expand... Shuran mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
mr chopa said: Wacheki Hawa namba zao hizo hapoView attachment 1431106View attachment 1431107 Click to expand... Shuran mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuguni one JF-Expert Member Joined Dec 23, 2019 Posts 1,160 Reaction score 487 Apr 26, 2020 #6 Ushapata mawasiliano sasa wapigie moja kwa moja upate majibu sahihi bro
U upeo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 369 Reaction score 222 Apr 26, 2020 Thread starter #7 Poa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Kiziwanda chema JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 289 Reaction score 478 Apr 26, 2020 #8 Nenda Bahari Motors kwa mzee Rungwe pale makumbusho
Magari Aina Zote JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 3,316 Reaction score 551 Apr 27, 2020 #9 upeo said: Naam asante gari ni rush au toyota cami kama itawezeka mipate mawasiliano yao mimi nipo mbali lido o na dar shukran Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Piga 0719972458 Kuwapata FM2020 Comission Agent Wako Magomeni
upeo said: Naam asante gari ni rush au toyota cami kama itawezeka mipate mawasiliano yao mimi nipo mbali lido o na dar shukran Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Piga 0719972458 Kuwapata FM2020 Comission Agent Wako Magomeni