wamemziba pua kabla hajapiga chafyaUwache dhambi bana 😂😂😂 hii haina tofauti na kusema "Ile anataka kuruka tu mtaro akateleza pwaaaaaaa"
nimesoma sijaelewa naona tu walevi mara bar mara nini sijui aaagh😏Soma thread mwanzo kabisa, hiyo post niliokumention ni baada ya rafiki kutolewa mchezoni kula ban
Watanisweka mara ngapi?mkuu Uboboh usiyatie moyoni ila na wewe ukiendelea jifanya shaban robert watakusweka😂