Show room za magari nafuu DSM ziko wapi

Show room za magari nafuu DSM ziko wapi

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,479
Kwa anayeelewa ni wapi wanauza magari bora na ya bei nafuu kwa hapa Dar, naomba anielekeze tafadhali, namaanisha show room kubwa sio hao wa magari kumi au matano.

Asanteni..
 
Nenda vingunguti palepale kituoni ukiwa unatokea tazara utawaona jamaa wako pale wanaitwa janjapan wako vizuri sana,naweza kusema kwa sasa ndo wanaoongoza kwa kuuza magari kwa bei nafuu.
 
kwa anayeelewa ni wapi wanauza magari bora na ya bei nafuu kwa hapa dsm, naomba anielekeze tafadhali. asanteni. namaanisha show room kubwa sio hao wa magari kumi au matano.

N tafute 0715591141 nkuelekeze showroom mmiliki nammudu utapata gari kwa bei nzuri tu, uwe serious tu.....karibu
 
Nenda vingunguti palepale kituoni ukiwa unatokea tazara utawaona jamaa wako pale wanaitwa janjapan wako vizuri sana,naweza kusema kwa sasa ndo wanaoongoza kwa kuuza magari kwa bei nafuu.

Kumbe Janjapan walihamisha yard yao yoka pale Sukita!!!jamaa kweli magar yao bei zake ni nafuu
 
Ukitokea mataa ya Moroko kama unaelekea barabara ya mikocheni mkono wako wa kushoto kuna showroom moja inauza Magari bei nafuu sana hadi utashangaa
 
Ukitokea mataa ya Moroko kama unaelekea barabara ya mikocheni mkono wako wa kushoto kuna showroom moja inauza Magari bei nafuu sana hadi utashangaa
Aisee Mdau Osaba upo kamanda?
Naona hufanyie hiyana,unamuelekeza jamaa akapate mkoko wake.
 
Aisee Mdau Osaba upo kamanda?
Naona hufanyie hiyana,unamuelekeza jamaa akapate mkoko wake.

Sana tu mdau maana huu mji wapigaji ni wengi ndio maana nikiwauzia watu Magari ya bei rahisi wengine hawapendi
 
Back
Top Bottom