Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,472
- 25,398
Wakuu nauliza wapi wanauza magari kwa bei rahisi mfano kuanzia milioni 5 na kuendelea
Prado vxIpo wapi?
Nina milioni 5 hapa naweza nikapata gari?
Kwa milioni 5 naweza pata aina gani ya gari ambayo haitumii sana mafuta?Kinondoni studio
Hiyo labda boda boda tu isiyotumia sana mafuta na chenji inabakiKwa milioni 5 naweza pata aina gani ya gari ambayo haitumii sana mafuta?
Kwa hiyo hamna gari la mil 5?Hiyo labda boda boda tu isiyotumia sana mafuta na chenji inabaki
Wakuu nauliza wapi wanauza magari kwa bei rahisi mfano kuanzia milioni 5 na kuendelea
Inakuhusu??
Kwa pesa niliyonayo naweza kupata gari aina gani?Msimbazi center mkabala na jangwani
Chukua LML freedom uweke kimwamvuliKwa milioni 5 naweza pata aina gani ya gari ambayo haitumii sana mafuta?
Weekend ndio kwanza inaanzaKuwa mpole njoo nikutoe stress....
Haujalala bado toto
Aseeh karibu tupumzike wote basiiWeekend ndio kwanza inaanza
Nalalaje sasa hivi jamani
HahahahhAseeh karibu tupumzike wote basii
Ligi za nini jibizana na mtu sekunde moja ukiona mtagombana jichekeshe pita hivi. Welcome