Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,227
una sound kama mnyarwanda vile!
Mkuu mimi ni mbongo damu dumu sina damu hata harufu ya kule, lakini at least umesema mnyarwanda, i hate people who say wahutu na watusi. Huu ni ushenzi ule ule ambao tunaupinga, ukiona watu wanaanza kuleta element ya uhutu na utusi jua hao ni wauaji tu, bila kujali wako wapi. I do not believe that Kagame is a representative of an ethnic group. He is a president of a country, na si kweli kuwa kila aliye kwenye serikali yake anakubaliana naye, leave alone wanyarwanda wengine.
Yeye amesema anasubiri right time atatupiga, so we will wait for that, but when we respond we will be responding to him, na si watusi. Mayanki wengi sana wa RPF ni washikaji walikuwa pale Shycom, na wengine wengi tu walikuwa mademu wetu, sidhani kama tunaweza kuwaweka wote kwenye kundi la Kagame. That is my point. We can not victimize the whole group, just because of the words, actions and thoughts of one man. Kagame will go banyarwanda will always be there, and whether we like it or not, they are our neighbors.
Kwa hiyo hapo in red TZ inalazimishwa? au ni at gun point kuwa kwenye EAC?
Delusional at best!!Chash, TZ was not forced to join EAC, lkn kwa maoni ya wengi hasa waishio mikoa ya Kagera na Kigoma hawakutaka rwanda na burundi ziingie EAC kwa sababu wanazijua nia mbaya za watutsi ! Na wanawajua watutsi kuwa wengi wao ni ruthless people kama kagame alivodhihirisha kwa kumtukana Rais Kikwete.
Let it be!...mlilikoroga sasa hamna rangi mtaacha kuona...tumeshawaanika vya kutosha...Delusional at best!!
hivi kabisa watu kwa akili zenu mnakaa mnawaza kutakuja kuwa na vita kati ya tz na rwanda?? Basi mnadanganya nafsi na akili zenu!! Tatzo mkuu wa majeshi, vijiblogs vya bongo vyote vilichukulia kauli ya kagame kama ni ya uvamizi bila kuangalia milango mingine hasa ya kiuchumi,, poor tanzanians
Hivi Kabisa watu kwa akili zenu mnakaa mnawaza kutakuja kuwa na vita kati ya TZ na Rwanda?? Basi mnadanganya nafsi na akili zenu!! tatzo Mkuu wa Majeshi, Vijiblogs vya bongo vyote vilichukulia kauli ya Kagame kama ni ya uvamizi bila kuangalia milango mingine hasa ya kiuchumi,, Poor Tanzanians
kiswahili chako ni kizuri hii inaonyesha wewe ni mtutsi wa rwanda uliyekulia tanzania na siyo uganda,inamaana umelelewa hapa tz kabla ya kagame kuchukua nchi, vipi huwezi kuonyesha shukrani kwa watz kwa yote waliokufanyia wewe,ndugu zako na labda wazazi wako unadiriki kusema poor tanzanians, je umeshafikiria kukizuka kasheshe rwanda na majority hutus utakimbilia wapi!!congo no, burundi no,tz no labda uganda wahenga wa kale walisema usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo!!!!