Ukisoma hii thread nzima utagundua kwa nini Africa ni dark continent.
Folks, Kenya is our Neighbour. Whether we like or not..we cant do without them and they cant do without us katika mengi...Tunategemeana kwa mambo mengi and we have lots in common. wananchi wetu wameishi pamoja for ages. Kwa nini leo tuchukiane? Whether we want them or not they are our neighbours. Same applies to them..hata wangeungana na Uganda, Somalia, Rwanda etc..they will NEVER be the same kama Watanzania watakuwa out of that muungano! Kwa sababu, reality check ni kwamba wakenya na watanzania we have lots in common. than Kenya and Rwanda lets say....
Lets embrace each other. mengi yanayoongelewa hapa ni stereotypes ambazo tumezizoea...Ofcourse in each country we have forces of evil and greedy class of citizens. Na hili si Kenya wala Tanzania ni kote. Akina Njonjo wako kila sehemu. Kenya is VERY corrupt, so is Tanzania!
All in all, I blame politicians maana wameshindwa kuelezea mazuri ya huu muungano..na badala yake..wananchi wanahangaika na conspiracy theories tuu. Ndo unakuta watu wanatukanana kwenye board hapa.
Hivi unafikiri EU ingefanikiwa kama baada ya vita ya pili ya dunia...UK na France wangeitenga Germany? Yes, Germany had massacred more than six million jews..lakini voice of reasonzikasema hapana..lets move forward...and we all know that Germany is the HEARTBEAT OF EU. Sasa jamani kitu gani Kenya imefanya ambacho hakisameheki?
Again I say, stereotypes ziko nyingi! Si Kenya wala Tanzania..lakini la muhimu..tuangalie yale mazuri na ni namna gani wote tunaweza kufaidika na ushirikiano wa karibu. Tuachana na steriotype. Kenya is a beutiful country with nice people, so is Tanzania. Ohh Kenya kuna ukabila, wanauana, they are greedy..haitusaidii hata kidogo..same wao kusema kwamba Tanzania is poor, isnt worthy our attention...is equally wrong.
Tudumishe undugu!Kenya has alots of things we can learn from and benefit, same for TZ we have lots and lots of stuff which can make our countries the envy of the world.