Should i Quit or Continue?

Time ambapo naweza fanya kitu kibwa zaidi kwa ajili ya future yangu!!!
Mkuu wewe unanishaurije ,Niendelee au nipostpone mwaka au niache kabisa??
- Kwakuwa tayari upo chuoni, Pangilia muda wako vyema umalize masomo.
- Elimu ina nafasi yake na itakusaidia kwa siku za usoni kwenye shughuli zako (Sio kuajiriwa)
- UDEMY inafaa katika kuongezea maarifa kwa kile ambacho tayari una mwanga nacho, Ila sio sahihi kuacha chuo sababu waweza soma kupitia UDEMY

Kila lakheri
 
Piga shule mkuu.. hayo ma ds na ma communication skills.. ni vitu simple tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…