Should I find you a girlfriend?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,512
Reaction score
146,020
Nimetoka kuulizwa muda si mrefu hilo swali na mdada/ mmama wa Kimalawi.

Nilikuwa nimeenda kula lanchi sehemu ndo nikakutana naye huko.

Katika kupiga naye stori akaniuliza ninapotoka ndo nikamwambia Tanzania.

Akanikumbusha mzozo uliokuwepo kati ya Tanzania na Malawi kuhusu lile ziwa.

Sasa sikumbuki mazungumzo yalitokaje huko hadi yakaenda kwenye kuulizana kutafutiana girlfriend!

Hii si mara ya kwanza mtu kujitolea kupendekeza kunitafutia girlfriend.

Hivi mtu unawezaje kumtafutia mtu mwingine girlfriend!? Wewe ni matchmaker au?

Sijui kaniona mimi ni domo zege au pengine alikuwa anajipigia chapuo mwenyewe aone kama atapata zali la mentali......

I don’t know. Y’all tell me.....
 
amekuona domo zege, huwezi ongea na manzi, akaona sio mbaya tz na malawi ni majirani wema, kwa nn asikutafutie barafu wa moyo ?

take it or leave it.
 
amekuona domo zege, huwezi ongea na manzi, akaona sio mbaya tz na malawi ni majirani wema, kwa nn asikutafutie barafu wa moyo ?

take it or leave it.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umefikia kuleta thread kama za MISS NATAFUTA..! Poor Nyani-Ngedere.
 
Kwa nini yeye asiwe girlfriend badala yake anashauri akutafutie girlfriend...

Koana labda kuna tatizo...

Ila kwa upande mwingine, mwanamke akisema hivyo anataka ujiongeze, anaona unachelewa to hit to the point...


Cc: mahondaw
 
Huyo '..alikuwa anajipigia chapuo mwenyewe aone kama atapata zali LA mentali..'
 
Kwa nini yeye asiwe girlfriend badala yake anashauri akutafutie girlfriend...

Koana labda kuna tatizo...

Ila kwa upande mwingine, mwanamke akisema hivyo anataka ujiongeze, anaona unachelewa to hit to the point...


Cc: mahondaw

She wasn’t my type in the slightest!
 
Kwa nini yeye asiwe girlfriend badala yake anashauri akutafutie girlfriend...

Koana labda kuna tatizo...

Ila kwa upande mwingine, mwanamke akisema hivyo anataka ujiongeze, anaona unachelewa to hit to the point...


Cc: mahondaw
Akili ku mkichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…