shosti majuto

Usanii huu wa kuigiza mwanamke haumfai. Awaachie akina joti na wenzake
 
kweli tanzania bado wajinga wengi,yaani watu wanachangia kama hii picha ni kweli wakati picha inaonyesha wazi wazi kwamba ni editing.
 
Fotoshop japo naona sigda hapo juu. Kwa mbali kama Dr. Slaa hasa hilo gwanda alilovaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…