Watu wengi humu wapuuzi sana,hata kama umekosea watakuja juu kukutukana na kukushushua mi huwa nashangaa sana,huu ni ukoosefu wa hekima ,kwanini nisisahihishwe vizuri nikaeleweshwa?unadhani hapo ulipo na mm nipo hapo?unadhani chanzo changu cha habari ni sawa na ww?unadhan taarifa hizi ulivyozipata ndivyo nilivyozipata? Acheni tabia ya kushushuana bwana,mtu asahihishwe pale anapokosea siyo matusi,elimu yenu haina maana yoyote kama haiwezi kuku transform kuwa civilised!