Wadau,LAPF wameshatoa shortlist kwa ajili ya interview?mwenye kujua atujuze
Aisee hiv uwezi kumjibu vizuri kwamba bado..au wewe unajua kila ki2.:heh::heh:If am not mistaken deadline for the application ni tar 9 ths month how come shortlist iwepo saivi? Hicho ni kinaitwa Kihoro au ndo unapima watu kwamba wako update ?
wadau,lapf wameshatoa shortlist kwa ajili ya interview?mwenye kujua atujuze
kaka unakuwa kama sio msomi au na ww kanjanja, how come shortlist b4 deadline
Teh teh teh!mshikaji amechoshwa na maisha ya mtaani!Kama Sikosei deadline ni leo sasa cjui shortlist wanatoaga before deadline...
mtaa mgumu mazee, subir boss wangu shortlist yaja soon watu 204000 nafas mbili
hivi hata tangazo ulisoma vizuri umepanic mapema hivi mbona???
Kama Sikosei deadline ni leo sasa cjui shortlist wanatoaga before deadline...