Shortlist candidate for PPF vacancies

Status
Not open for further replies.

Ngarenaro

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
308
Reaction score
45
Wakuu mambo vipi, kuna post PPF waliowahi kutangaza watu wakafanya application online, ni miezi takriban 3 imepita hakuna updates zozote, kwa mwenye taarifa kama watu waliitwa au nini kinachoendelea watujuze hapa jamvini.
Naomba kuwasilisha
 
Wakuu mambo vipi, kuna post PPF waliowahi kutangaza watu wakafanya application online, ni miezi takriban 3 imepita hakuna updates zozote, kwa mwenye taarifa kama watu waliitwa au nini kinachoendelea watujuze hapa jamvini.
Naomba kuwasilisha

Yap nazikumbuka ilikuwa mpaka ufanye registration kwenye website yao ndipo utaweza apply, anyway mi nadhani watakaopita watajulishwa kwa simu tu coz there is noway out eti waweke majina mtanaoni ndipo ujue umechaguliwa au la...but nina doubt nao sana hii taasisi nyeti kwani kuna uwezekano mkubwa wamewaita watu wao na maisha yanaendelea...otherwise walio-apply wavumilie waweza kuitwa badae,manake mafungu ya bajeti si yashatoka!!
 
Alafu kuna hii kitu wanasema huwa wanapewa kibali cha ajira alafu then kinafuata cha fedha. Mi nadhani hawa wanaochelewa kuita watu kwa usaili wanakuwa bado hawajapewa kibali cha fedha ndo maana wanakawia. Niliwahi msikia mwajili mmoja akiyasema hayo ila sijui kama ndivyo ilivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…