SHOP assistant Position Mtwara Town

SHOP assistant Position Mtwara Town

Ni lazima awe mdada?

Vipi kwa Me?

Duka la aina gani ?

Duka lipo maeneo yep?
 
Sina diploma ila sifa zilizobaki nnazo niko mikindani vipi napita?
 
Wanaume waliopo hapo uliwapata kwanjia ya kusema nahitaji ME tu au hustling zao zimewafanya wawe hapo kama ni hivyo hii ni Gender Equality /Mfumo Jike.
Mcheki huyo jamaa hapo kwa maelezo zaidi mimi siwezi kueleza beyond hilo tangazo
 
Kuna mtu anatafuta Dada mwenye angalau diploma ya mambo ya biashara mchapa kazi, flexible, na mwiminifu kwa ajili ya kazi ya kuuza duka

Salary 300, 000 +

Sharti: Hardworking, innovative, self-starter and nice looking
Ameshapatikana mtu mkuu?
 
Back
Top Bottom