True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 588
- 900
Jambo zuri mkuu na ndo maana Tukaweka mawasiliano hapo juu.... Au unaweza kuja officn kwetu.... Usiogope Ghalama n za kawaida mno... Hautaamn mkuu[emoji3578][emoji3578]Mkuu ingependeza kama ungeweka na bei ya chini kabisa!
Jambo zuri mkuu na ndo maana Tukaweka mawasiliano hapo juu.... Au unaweza kuja officn kwetu.... Usiogope Ghalama n za kawaida mno... Hautaamn mkuu[emoji3578][emoji3578]
Nitalishughulkia hlo mkuuKwa mtindo huu hutopata wateja, kamilisha tangazo la biashara weka bei ya bidhaa mtu akupigie kutoa order sio kubargain tena bei
#1. Je inachukua muda wa siku ngapi kwa mteja kukabidhiwa suti kama hii toka siku aliyolipia?[emoji1541]View attachment 1567386
1. Maximum kwa suti au nguo yyte ile ni 7 days.... Inaweza kuwa chn ya hpo kutokana na wng au uchache wa kaz... Ila haivuk cku7#1. Je inachukua muda wa siku ngapi kwa mteja kukabidhiwa suti kama hii toka siku aliyolipia?
#2. Najua bei hutegemea aina ya kitambaa, Je unaweza kutuweka japo range ya bei minimum kuanzia ngapi hadi TZS ngapi? , Ili mteja anapokuja awe na idea ya bei tarajali.
#3. Iwapo nitakuletea kitenge ili nishonewe shati la mikono mirefu, mtu mkubwa, bei ya mashono pekee ni kiasi gani? na inachukua siku ngapi?
Ahsante.
Karbu sana mkuu[emoji3578][emoji3578]Ahsante sana, Nitakutembelea hivi karibuni.
Suti laki 4 si bora tu niagize China au niende kwa SpeshozKwa wakazi wote mliopo Dar-es-salaam na Nje ya Dar hii n fursa Yenu sasa. Karibuni sana kwa CHIKAWE TAILORING MART TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-
[emoji419] Tunapokea Tenders zote zinazohusiana na Ushonaji wa sare za harusi na Uniforms za Aina zote. Za kike na za kiume.
[emoji419] Tunashona Nguo za Kike na za kiume kwa gharama nafuu mno.
[emoji419] Tunauza vifaa vya ushonaji.
[emoji419] Tunashona suti full za Kike na za Kiume kwa gharama nafuu sana.
[emoji419] Tunatengeneza Cherehani pia zilizoharibika.
[emoji419] Tunatoa mafunzo na Kupokea Wanafunzi wa Jinsia zote ambao wako tayar na Watakaohitaji kujifunza ufundi..... Kwa gharama nafuu mno.
[emoji419]Tupo Temeke-Mikoroshini..... Hatua chache sana kutoka Mwembe Yanga.
•Proffesional Chikawe [emoji338]+255623578541•
[emoji146][emoji146]Kwetu mteja n zaid Ya King.... Woote mnakaribishwa[emoji1545][emoji1545]
Sample[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
View attachment 1567371View attachment 1567372View attachment 1567373View attachment 1567374
Mbona sijaandka popote bei Ya lak4, au mm ndo sijakuelewa mkuu?Suti laki 4 si bora tu niagize China au niende kwa Speshoz