Shoga yangu kachemka

Hakunaga marafiki huwa ni wivu tu hapo umefurahii
Wanawake kama gari haijaandikwa jina lako ni bora Usilitumie tu
 
Dah aseeeh there is a lot about women , ngoja tuelekeze akili kwenye kutafuta Hela nyingiiii zaidi.
 
Shoga yako alipata kila kitu kwa huyo mdosi isipokuwa alikuwa hapigwi miti ya haha[emoji123] ndio maana akawa anagawa kama pipi uroda.

Hawa mapedeshee God kawajalia mkwanja tu lkn kitandani 0.

So utachaguwa ww upigwe miti na muhuni aliyefulia, au uendeshe vangard na migenye yako.

Wangu mtazamo[emoji3061]

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Binadamu ni kiumbe mbishi sana na bahati mbaya tukipata kimvuli tunasahau kuwa Kuna jua.
Siyo lazima after separation basi mwanamke atateseka sometimes ni kinyume vile vile maana maisha siyo straight forward.

Ila by cheating hlf ukakamatwa life won't be the same anymore.

Lakini cheating or separation zingine hata hazina umuhimu- it is just mwanakulitafuta ,mwanakulipata.

Yaani Mwanamke unapata Mwanaume anakutunza ,anakulisha ,anakupenda ,anakupa gari ,anakumbato vizuri (show show) nk hlf emotions zako zinakupelekea unageuka kuwa jamvi la Jiji aka danguro linalojitegemea....... Sometimes kama mwanadamu unapaswa kujifunza na ni Bora ujifunze the simple way than the hard way maana inaumiza.

Aliye na masikio na asikie .

reymage hebu sema neno kidogo na wewe
 
Akili ya mwanamke anaijua mwenyewe. Ni kama yupoyupo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…