Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Huyu kijana inaonesha nae ameshakuwa maarufu bongo
ccfc826a59f3d512a0db67342dc35f19.jpg
b0ca848ab419e41602f7b8a2dac29e8e.jpg
c5d66169b6fbbfc235a1d5d57c25547b.jpg
4df7369fa2513c01135b7d47ee07a208.jpg
 
Dah, nimeumia sana. Hawa watu tunawasaidiaje jamani?
Eti wataalamu wa saikolojia ama mnaofahamu, tuwasaidieje wanaume hawa?
Halafu utakuja hajali watu wanaongea nini hata kama wana msema ama lah yeye yuko poa tu anajiona yuko bomba sana. Kumbe amepotea. Eeh Mungu utu rehemu.
 
Hawa watoto wanahitaji sana msaada, muwasaidie kama mnawafahamu, kama ni jirani yako au mtoto wa ndugu yako msaidie, wakati mwingine unapomtumia mtoto wa jirani au yoyote hujue kuwa unapanda mbegu katika uzao wako mwenyewe, haya mambo huwa hayapiti. Yanaenda mbele na kurudi nyuma. Msishabikie, kuna nyumba unakuta Baba tabia kama hiyo, watoto humo humo ni huruma sana!!!
 
Hao watoto hawasikii ukijaribu kuwashauri utaambulia matusi makali bora kuwaacha wakishapata magonjwa ya ngono ndio watafundishika nakuacha huo ujinga wao
 
Mbona mnampiga sana mawe kijana huyu?. Asiye na dhambi aendelee kumsema huyu kijana na wote mliompiga mawe ya maneno humu ndani mfute kauli zenu aisee mara moja. Huu ni udhaifu kama udhaifu mwingine wowote ule cha kufanya ni kila mzazi kuhakikisha anamfundisha mtoto wake njia impasayo naye ataiacha hata atakapokuwa mtu mzima. Leo hii has a wanaume tumekosa kuwa wawajibikaji tunadunga mabinti mimba tunasepa mwisho mtoto anapata malezi ya mzazi mmoja ama malezi ya mabibi na mababu zao hivyo kupelekea watoto kujilea wenyewe pasipo wazazi. Kingine ni zile familia zinazojifanya za kizungu wazazi wanarudi watoto wamekwisha lala 24/7 mwisho watoto wanaharibikiwa .
well saiD
 
Kinacho nishangaza wanawake ambao gawio lao ambalo limepunguzwa na hawa makhabeethy ndio marafiki zao wakubwa hawaoni tatizo mpaka pale wanaponyang'anywa mabwana ndo chuki huanza.
 
Back
Top Bottom