badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,119
kweli kabisa badiebey.. kuna mambo mengine kwenye mahusiano yetu mtu unatakiwa uyameze..especily kama mtu unampenda..
ukimpenda mtu huwezi msemea ubaya,even in his absence
kweli kabisa badiebey.. kuna mambo mengine kwenye mahusiano yetu mtu unatakiwa uyameze..especily kama mtu unampenda..
Kweli kabisa mamy..wakati mwingine unakuta hali kama hiyo inakosekana kwa sababu ya kukosa upendo wa dhati toka moyoni...maana msipopendana hata kuheshimiana inakuwa tabu sana..ukimpenda mtu huwezi msemea ubaya,even in his absence
ahsante,kusema kweli am veryy talkative ila hapo aisee siwezi kudisclose details,kwa faida ya nani,ili iweje..??
Unakuta mdada kabisa anasmea oh leo nimeenda kwa flani hakuna alilofanya kanipapasa tu,heh,na bf wake tunamjua,inahusu jmn?
Siku hizi kaja na kautaratibu ka kutwambia tumsubiri kwanza, sasa anasababisha muda wote nikae narefresh kuangalia kajaa au!
lara 1
N aibu kubwa hii wanawake tubajitwisha
hahaha anasema narudi halafu anakawiaje kurudi sasa
hahaha anasema narudi halafu anakawiaje kurudi sasa
Utakuta mwanamke ana mume wake wa ndoa lakini bado ana mtu wa pembeni eti kisa mumewe ana kibamia na yeye anatafuta dushelele,shoga ingekuwa dushelele ndo mapenzi basi hawa wenye vibamia wasingewaoa iweje uolewe na mtu kibamia kesho unamsaka mtu wa dushelele? Kugongwa ni kulekule tu iwe dushelele au kibamia yangu ni hayo tu.
kweli kabisa badiebey.. kuna mambo mengine kwenye mahusiano yetu mtu unatakiwa uyameze..especily kama mtu unampenda..
hiyo ndo habari ya siku hizi wala usishangae
maana watu wakimuona wanaona huyu bwana ana njululu ndogo iko hivi
anakutana na watu wanamtizama kwenye suruali kumbe wanafanya evaluation ya walichoambiwa kiko ndani
hapa ndo me huwa nashangaa,ntaongea vyote na rafiki zangu but kueleza details za maumbile ya mwanaume wangu ahhhh hapana jmn
Ambao hawaridhiki wana mabwawaaaaaaa
atakuja ana majukumu ya kutimiza ndio awe free kufanya anachojisikia, remember Lara 1 now she ia a woman not a gal anymore.