Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 328
- 889
Nabadili kwa sababu siku mbili zilizopita nilipita barabara ambayo ilikuwa na mashimo sasa nikasikia tairi ya nyuma upande wa kushoto inagongaKwanini unabadirisha. Huyo fundi aliekuambia shockup za umeme futa namba yake kabisa sahivi.
Nipo Dsm na garage niliyoenda ni ya kawaida tu kilichonistua ni kuniambia shockup zake ni za umeme na hilo ndio aswaa lililofanya nije kuomba kufahamishwa.Inategemea na mambo kadhaa!!
1. Status/ hadhi ya garage uliyokwenda kubadilisha...
Usikute tatizo sio shock up kabisaNabadili kwa sababu siku mbili zilizopita nilipita barabara ambayo ilikuwa na mashimo sasa nikasikia tairi ya nyuma upande wa kushoto inagonga
Mkuu kwenye hili issue sio ghalama kilichonitatiza ni kuambiwa shockup za crown athlete ni za umeme!! Je vile kama vifuniko vinavyo pachikwa juu ya shockup ndio umeme wenyewe?!!Huwa nawaambia mnapenda Toyota kwasababu ya fake spares ona bei ya genuine parts
View attachment 1737128View attachment 1737129
Mkuu nilipofika safari yngu nilipiga jerk nikaona oil imevuja inachuluzika kuja chiniUsikute tatizo sio shock up kabisa
Habari za jion, naomba kupewa ufahamu juu ya hili..
Leo nilienda garage flani kwa ajili ya kubadilisha shockup gari ni crown athlete na ni shockup za rear wheel, sasa baada kumuelezea fundi na kuikagua gari akasema shockup zangu ni za umeme na pair zinauzwa laki 8.
Hapana zile top mount.Mkuu kwenye hili issue sio ghalama kilichonitatiza ni kuambiwa shockup za crown athlete ni za umeme!! Je vile kama vifuniko vinavyo pachikwa juu ya shockup ndio umeme wenyewe?!!
Kumbe jamaa alikuwa sahihi. Mkuu naomba elimu japo kidogo, mechanism yake ipoje mana toka nimeagiza hyo gari hii ndio mara yngu ya kwanza kubadili shockup. So sijui chochote kuhusu shockup za umemehuyo aliyekuambia kwamba ni shock up ya umeme wala hajakudanganya.
Tena ukipata genuine kwa pair inaweza kuwa zaidi ya 1m.
Kwahiyo tairi ya ikigonga tu shock up imekufa 🤣Nabadili kwa sababu siku mbili zilizopita nilipita barabara ambayo ilikuwa na mashimo sasa nikasikia tairi ya nyuma upande wa kushoto inagonga
Hilo tatizo nimeli notice baada ya kupita rough road na ata mneso wake haukuwa ule niliouzoea. Nitaufanyia kazi ushauri wako na ahsante sana kwa ushauri mzuriKabla haujabadilisha Shock up jaribu kwenda gereji nzuri na fundi aangalie kugonga kwa gari kuna sababishwa na nini...
Kumbe jamaa alikuwa sahihi. Mkuu naomba elimu japo kidogo, mechanism yake ipoje mana toka nimeagiza hyo gari hii ndio mara yngu ya kwanza kubadili shockup. So sijui chochote kuhusu shockup za umeme
Hilo tatizo nimeli notice baada ya kupita rough road na ata mneso wake haukuwa ule niliouzoea. Nitaufanyia kazi ushauri wako na ahsante sana kwa ushauri mzuri
Kama shock up imeanza kuvuja oil basi imekufa, na kama haijafa, haimalizi miezi 3 mbele..Mkuu nilipofika safari yngu nilipiga jerk nikaona oil imevuja inachuluzika kuja chini
Zinatumika kwenye magari ambayo yanakuwa na adaptive suspension system.Kumbe jamaa alikuwa sahihi. Mkuu naomba elimu japo kidogo, mechanism yake ipoje mana toka nimeagiza hyo gari hii ndio mara yngu ya kwanza kubadili shockup. So sijui chochote kuhusu shockup za umeme