Shkamoo instagram

kacnia

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
4,026
Reaction score
15,812
Leo nimecheka sana baada ya kugundua kuwa huwa nalishwa matango poli huko instagram hasa pale ninapohitaji kupata tafsiri ya maneno ya lugha kama kiarabu,kifaransa na kileno kwenda kiingereza. Hili nimeligundua baada ya kujaribu kubadili maneno ya kiswahili kwenda kiingereza hiki ndio kilichotokea
 
Kwanza ungejua inayotafsili hayo ni engine/program na sio binadamu. Hiyo program imekuwa installed maneno yote ya lugha husika so ina convert, sasa unaamini kuwa kwenye hiyo program wame install "bata" kama ilivyotumika hapo? Kwa kifupi hiyo ni just digital dictionary kama utatumia maneno ambayo hayapatikani kwenye kamusi unai confuse hiyo engine.
 
Kwel mkuu japo kiswahili chetu hiki kina viwonder vingi vingi
 
Naomba unipe tafsiri sahihi ya hayo maneno yako kwa kiingereza, ambavyo ilitakiwa iwe.
 
Naomba unipe tafsiri sahihi ya hayo maneno yako kwa kiingereza, ambavyo ilitakiwa iwe.
She used to be a luxurious girl seen in every party and luxurious places but nowadays she is some how behaving like a matured person congrations luluπŸ˜‰
 
She used to be a luxurious girl seen in every party and luxurious places but nowadays she is some how behaving like a matured person congrations luluπŸ˜‰
Inaonekana kidogo wazazi walikuepusha na zile shule za kayumba

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana kidogo wazazi walikuepusha na zile shule za kayumba

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Hahahaha hapana mkuu hii ni mwanzo mwisho st kayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…