mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Naipongeza Serikali Kwa hatua iliyochukua ya kumsimamisha Mkurugenzi MKUU wa Shirika Na mkurugenzi wa Fedha kupisha uchunguzi Na kuliokoa Shirika kutokana Na kukithiri Kwa vitendo vya Rushwa Na Mikataba ya kifisadi.Kitengo cha Ukaguzi wa Magari kimekuwa kunajihusisha Na vitendo vya Rushwa Kwa kushirikiana Na waagizaji wa Magari kutoyakagua Magari Na kutoa vyeti Feki vya Ukaguzi.
Pia kuna mikataba ya kifisadi ambayo viongozi wa shirika waliingia ambayo inalipotezea Shirika mapato pamoja Na Serikali Tunamshauri Waziri mwenye dhamana alichunguze Shirika Na Viongozi wake naamini atajionea mambo ya ajabu .