Kwa kweli mimi sijui na wala sielewi hili shirika la Viwango Tanzania linafanya nini. Mheshimiwa Rais, Dr. Magufuli tunaomba ulifanyie Transform maana sisi wananchi tunaibiwa.
Moja ya kazi za hili shirika ni kukagua na kuhakikisha kwamba bidhaa zinazoingia Tanzania ni bora na zinakidhi viwango kulingana na thamani ya pesa ya bidhaa hizo. Lakini kwa hapa Tanzania tumechoka na bidhaa feki, enough is enough, Watanzania tunaibiwa. Nikichukulia mfano mmoja mdogo sana wa nyembe (blade razors). Miaka ya nyuma mtu ulikuwa unatumia nyembe mpaka inapata kutu unaamua kutupa, lakini sasa hivi wengi wetu ni mashahidi kusafisha ikulu tu inabidi utumie nyembe mpaka tano, My God!
Najua hii ni mbinu ya mchina kutengeneza uhakika wa soko maana mchina ameshafanya Afrika kama kitega uchumi for 50 years to come ana uhakika wa soko Africa.
Huo ni mfano mdogo tu wa nyembe na ukisema ufanye sample survey ya selected consumer products nina uhakika mtakubaliana na mimi kwamba hakuna maana ya kuwa na shirika la viwango Tanzania kwa sababu kwa kukadiria asilimia 90 ya imported products ni feki.
TBS acheni masikhara, bidhaa nyingine ni sumu na mnatuumiza watanzania. Pesa ni ngumu na sisi watanzania tunataka thamani ya pesa zetu ifanane na bidhaa. Ni bora uniuzie wembe moja sh.1000 lakini ina quality kuliko hizi takataka tunazonunua sasa hivi, maana tumeshachoka mbona wenzetu wakenya wameweza kucontrol bidhaa feki. Wao wamewaeza wana nini na sisi tushindwe tuna nini?
Sasa kwa niaba ya watanzania nasema tumechoka na bidhaa feki. Mheshimiwa rais tunaomba ulifanyie kazi shirika la viwango Tanzania ili na sisi tutumie bidhaa bora.
Akhsanteni.