Kwa nini CHADEMA ni adui wa Tanzania?Ukiachilia umasikini,elimu na magonjwa adui mwingine wa tanzania ni chadema.
Mashirika ya ndege yanayofilisika yapo mengi sana, tena mengi yake yapo Ulaya na Marekani kwenye wasafiri wengi wanaotumia ndege.
Kwa nini CHADEMA ni adui wa Tanzania?
Ujinga ni kuzungumzia jambo lenye maana nyingine ukimaanisha kitu kingine.View attachment 1027133
Shirika lingine hili nalo limefifisika BMI budget airline limepaki.
Nasikia ATCL nalo linasukumwa na abiria sasa habari ndio hiyo.
Tundu Lissu,Zitto Kabwe walituonya tukawaona wachawi haya sasa!!
Chadema imeingiaje hapa?!
Mashirika ya ndege yanayofilisika yapo mengi sana, tena mengi yake yapo Ulaya na Marekani kwenye wasafiri wengi wanaotumia ndege.
Umeona mkuu naona saizi haishiwi vituko na mbwembe sioni kama tumepoteza chochote kwa huyu jamaaMada zako nyingi zinauwalakin samahan kwa kuusema ukweli huu, angalia aina ya presentation yako, mara uweke vituko mara uweke mbwembwe,
Jaribu kuwa unaleta hoja ili hata Lumumba waamini kwamba wamepoteza kweli mtetezi mtandaoni,
Ushindani mkubwa. Kuna njia za kuepuka, sema nyie msiojua mnapaniki kweli kweli, ila Tz tumejipanga sanaMashirika ya ndege yanayofilisika yapo mengi sana, tena mengi yake yapo Ulaya na Marekani kwenye wasafiri wengi wanaotumia ndege.
Limekutia hasara ipi?Hili Shirika limetutia hasara wacha kabisa!