K kailem Member Joined Jul 29, 2015 Posts 15 Reaction score 3 Sep 27, 2015 #1 Habari za mihangaiko wanajamvi, Nauilizia mtu yoyote anayefahamu wapi naweza nunua shipping contaner na huwa ni bei gani? Nipo maeneo ya Arusha
Habari za mihangaiko wanajamvi, Nauilizia mtu yoyote anayefahamu wapi naweza nunua shipping contaner na huwa ni bei gani? Nipo maeneo ya Arusha
B BensonMsofe Member Joined Mar 29, 2015 Posts 11 Reaction score 0 Sep 28, 2015 #3 Nenda kwa Shipping Line La 20 fiti ni dola elfu mbili La 40 fiti ni dola elfu nne Na hiyo ilikuwa mwaka juzi ila kwa sasa sijui itakuwa shs ngapi
Nenda kwa Shipping Line La 20 fiti ni dola elfu mbili La 40 fiti ni dola elfu nne Na hiyo ilikuwa mwaka juzi ila kwa sasa sijui itakuwa shs ngapi