Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,106 Reaction score 10,473 Feb 24, 2025 Thread starter #21 Kidagaa kimemwozea said: Ahaa mda wake ulikuwa bado Click to expand... Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida. Sijastaafu kutia mimba.
Kidagaa kimemwozea said: Ahaa mda wake ulikuwa bado Click to expand... Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida. Sijastaafu kutia mimba.
Mstahiki Mea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 5,611 Reaction score 10,170 Feb 24, 2025 #22 George Betram said: Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida. Sijastaafu kutia mimba. Click to expand... Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine
George Betram said: Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida. Sijastaafu kutia mimba. Click to expand... Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,106 Reaction score 10,473 Feb 24, 2025 Thread starter #23 Kidagaa kimemwozea said: Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine Click to expand... Okay! Ila watoto wanasumbua sana aisee. Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari.
Kidagaa kimemwozea said: Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine Click to expand... Okay! Ila watoto wanasumbua sana aisee. Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari.
Mstahiki Mea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 5,611 Reaction score 10,170 Feb 24, 2025 #24 George Betram said: Okay! Ila watoto wanasumbua sana aisee. Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari. Click to expand... Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa
George Betram said: Okay! Ila watoto wanasumbua sana aisee. Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari. Click to expand... Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,106 Reaction score 10,473 Feb 24, 2025 Thread starter #25 Kidagaa kimemwozea said: Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa Click to expand... Yeah, Bi mkubwa pia amenielekeza hivyo. Ameniambia kwakuwa anaweza kuongea maneno kadhaa muhimu basi suala la kupiga ngenga ni jambo la muda tu.
Kidagaa kimemwozea said: Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa Click to expand... Yeah, Bi mkubwa pia amenielekeza hivyo. Ameniambia kwakuwa anaweza kuongea maneno kadhaa muhimu basi suala la kupiga ngenga ni jambo la muda tu.
Mstahiki Mea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 5,611 Reaction score 10,170 Jul 10, 2025 #26 Keyboard_Warrior said: Yeah, Bi mkubwa pia amenielekeza hivyo. Ameniambia kwakuwa anaweza kuongea maneno kadhaa muhimu basi suala la kupiga ngenga ni jambo la muda tu. Click to expand... Dogo anaendeleaje mkuu
Keyboard_Warrior said: Yeah, Bi mkubwa pia amenielekeza hivyo. Ameniambia kwakuwa anaweza kuongea maneno kadhaa muhimu basi suala la kupiga ngenga ni jambo la muda tu. Click to expand... Dogo anaendeleaje mkuu