Shindano la tembo

Shindano la tembo

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Kulitangazwa shindano la tembo.kwanza umfanye tembo aliyefundishwa avibrate wakaja mabaunsa na nguvu zao tingisha tembo tembo kauchuna kila alejaribu alishindwa. kikatokea kijamaa kimoja kimekonda watu wakaanza kumzomea kama mabaunsa wameshindwa itakuwa wewe,jamaa akawaambia ngojeni na mimi nijaribu,jamaa akapewa nafasi basi alimpapasa yule tembo mgongoni kufika matakoni akamtia dole wacha tembo avibrate kwa hasira jamaa akawa ameshinda,
Shindano likaahirishwa mpaka kesho yake.siku ya pili ikawa kumfanya tembo atingishe kichwa wakaja baunsa kita misumari ya masikio tembo wapi akatokea kile kijamaa cha jana tembo kumuona akasema leo hashindi hata kwa dawa.kijamaa kikamsogelea tembo mpaka sikioni kikamnong'oneza "nikutie dole kama jana" tembo akatingisha kichwa mmmh jamaa akashinda tena:A S 465:
 
Jf full vituko! Ha ha ha haaa...!!!!!
 
dah unajua niliona watu wanacheka nami nikaunga mkumbo...sasa nimesoma ndo nimeona kwann watu wanacheka....ha ha ha ha ha haha haha:A S 465:
 
Back
Top Bottom