Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
mar ya mwisho kupita hiyo bara bara ni mwaka 2006 nakumbuka kulikuwa na mashimo hiyo mitaa, hivi bado yapo tu? maghufuli anafanya nini sasa?Kuna shimo lipo hii barabara wanayotengeneza kigogo wanaita sijui randa bar kitu kama hicho hilo shimo ni balaa halafu linamaji kiherehere chote cha kukwepa foleni ya morogoro kiliniisha maana hapana na haka kavitz kangu nusu kazame hapo
We we nae unakuwa kama Thomaso picha za nini sasa kwani wewe hutumii hizo barabara agrrrrrrrrrr
mar ya mwisho kupita hiyo bara bara ni mwaka 2006 nakumbuka kulikuwa na mashimo hiyo mitaa, hivi bado yapo tu? maghufuli anafanya nini sasa?
mar ya mwisho kupita hiyo bara bara ni mwaka 2006 nakumbuka kulikuwa na mashimo hiyo mitaa, hivi bado yapo tu? maghufuli anafanya nini sasa?
una maana ulifikiria lile shimo eti eeh?
Mohamed leo umenipata,
Ulivyosema "SHIMO" mwenyewe nikaingia kwenye mambo ya wakubwa.
BTW tumekumisi kwenye jukwaa la malenga wetu kule.
Tofautisha kati ya shimo na tundu mkuu.
aisee kuna shimo lipo hapo rozana buguruni barabara ya uhuru.. aaah lile noma mazee utazani hamana serikali kabisa
Pole mkuu,
Tukiagiza magari tunapigwa ushuru lakini zinapoenda hatujui agrrrrrrrrrrrrrrr
Habari za asubuhi wapendwa,
Leo nimeamua kuja na swali hili kutaka kujua shimo gani la barabarani linalokukera. Mimi binafsi nakerwa sana na shimo lililopo makutano ya barabara ya bibi titi mohamed na morogoro na lile kwenye barabara ya united nation kwenye kona ya kuingia muhimbili.
Nasdhani kwa mashimo yaliyopo kwenye barabara zetu hakuna haja ya kuweka matuta kwani yanasaidia kupunguza speed kwa kiasi kikubwa na kuchangia foleni kwa wale wasiopenda kuwahi kurudi majumbani hii ni faraja kwao.
Kuna hili shimo sijui tuite handaki? Lipo hapa mtaa wa upanga karibu na haidar plaza yaani ni nouma unaweza hata ukajificha usionekane. Hivi wahusika wa kufanyia ukarabati wameenda likizo?
Hapa nakubaliana na wewe manaake nilipoiona taito mara moyo ulishtuka, kumbe ana maana ya shimo la bararabarani. Dah!Kiongozi,
Ungebadili title na kuondoa neno SHIMO na badala yake weka SHIMO LA BARABARANI.....mashimo yako aina nyinga kaka
Mh! Shimo. Hayo ya barabara ni mashimo kweli? Tafsiri ya shimo ni ipi?
Sasa tuyaiteje matobo?