Shilole: Wanaume wa mjini ni wavivu kila sekta, naenda kutafuta mwanamume wa kijijini

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume.

Akistorisha na Showbiz Xtra, Shilole alisema kuwa, hataki tena kujichosha akili kwa wanaume wa mjini kwa vile ni wavivu bora aende Igunga kumpata mwanaume atakayeweza kufanya kazi kutokana na vyakula asili anavyokula.

“Wanaume wa mjini wamezoea chipsi mayai, hawawezi chochote bora wa kijijini wanakula dona na wana akili za kufikiria,” alisema Shilole.

Shilole alikuwa akitoka kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda.

Source: Bongo Movie
 
Uzuri ni kwamba hata hao washamba atakaowaleta mjini baada ya muda na wao wanakuwa fake. Vijana wengi wa kibongo hawajitambui.
 
Watoto wasio na malezi hawa wanajua wanaume au wanaropoka tu kama zilivyo fani zao. Katembea na hao warembo wenzake wanaojichubua tayari anaconclude Dar haina wanaume eti? Mwambie aniPM nimuoneshe tofauti ya wacheza filamu wanaobleach nywele na Mwana Mtoka Pabaya
 
Sijui yule mtoto wake anapata picha gani kwa huyu mama yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom