Shilole ni mnafiki sana

Njaa hizi mtu kaenda kujidhalilisha uchi Bar kisa tu apige show Ulaya
 
Huyo mwenye jezi ya Man U... athari imekuja kuonekana leo
 
Hivi Konde boy hana haki sasa tangu ajitoe wcb ee?
 
Dah,picha zingine bhana zinaharibiana siku ila kweli zama zimebadilika mtu wa hivi kaolewa af wanaovaa kiheshima mtaani ndo wamekua madungaembe wanaosaka ndoa bila mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…