Shikamoo Wachaga!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Madaktari 6 watanzania walioombwa na WHO kwenda Sierra Leone kutibu Ebola na kulipwa 2,000,000/= kwa siku wanaitwa majina haya :

1. Dr. Esta Kokugasha Mukasa - kakataa kwenda

2. Dr. Makame Seif Makame - kakataa

3. Dr. Masanja - kakataa

4. Dr. Rutabanzibwa - kakataa

5. Dr. Ngonyani - kakataa

6. Dr. Lyimo - Kakubali


Shikamoo wachaga 🙌 🙌
 
Kama vile sijaelewa!!

Pamoja na hatari zote za kuhudumia wagonjwa wa Ebola dr Lyimo (ambaye ni mchaga) alikua tayari kuchukua hiyo risk na kwenda kuzikunja hizo tsh 2,000,000/- kwa siku!
 
Wachaga noma mm jana nimemuuliza mangi ni saa ngapi akajibu ni saa sita keshi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…