Shikamoo vyombo vya Ulinzi na Usalama

Mkuu hiyo nyumba iko mapipa nini? Japo umefowadiwa hebu nipe habari vizuri kama unajua kuhusu hilo.
 
Mkuu hiyo nyumba iko mapipa nini? Japo umefowadiwa hebu nipe habari vizuri kama unajua kuhusu hilo.

Sina huakika ni maeneo hapo magomeni najua hapa jamii forum tutapata majibu sahihi.
 
Huenda ni baada ya tishio la Al-shabab, sasa wako kazini na wameicha ACT watanue kwanza.

Ila ingekuwa CDM wakati huu !!! Oooh Intelligencia intelligencia.
 
Umejitahidi
 
Ukiona nyumba nzuri ya jirani yenu unaweza kumwambia baba yako kuwa alijenga nyumba gani isiyokuwa namaa lkn subili iangushwe na mvua za upepo ndo utajua umuhimu wake.
 
... and your point is?...
Ukiona nyumba nzuri ya jirani yenu unaweza kumwambia baba yako kuwa alijenga nyumba gani isiyokuwa namaa lkn subili iangushwe na mvua za upepo ndo utajua umuhimu wake.
 
Kuna wakati nadhani ulikuwa kijiweni mnaongea, baadaye mmoja wenu akaongea hiyo topic wewe ukaipenda na kuona jamaa kaongea bonge la news, kumbe mtoa mada umewahi sana badala ya kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…